Arbatone : Finish kumalo lyrics ft. spoiler and soundKraft- Tipsy Gee
Finish kumalo is an arbatone hit song performed by Tipsy gee featuring spoiler 43 and the producer not other than SoundKraft.
[Intro]
Like a boss
Yaani bana , Man Tipsy Gee , spoiler 43
Nikona like a boss.
[Chorus]
Leo ni kufinish kumalo x3
Leo ni kufinish kumalo x3
Leo ni kufinish kumalo x3
[Tipsy Gee verse1]
Mana tipsy kufinish kumalo
Na masaa ni risky kudunda kudonjo
Zone tuko on na tuko juu yaa mang’ang’o
Magode chalk na ile kwela nono no-no
Huku ndo haga na haga, biggie bamba wababa
Sana kwanza mapaja, zi huwatupisha rada
Cheke tu girl na tupyenga mara kwa mara
Kuchanganya wababa wapate tucheda
He’s taking you for lunch and you’re taking him for granted
Yaani for man??
Eeh anabant na hujakam
Sasa unaangusha champe fwb what the f do you mean?
[Chorus]
Leo ni kufinish kumalo x3
Leo ni kufinish kumalo x3
Leo ni kufinish kumalo x3
[Spoiler 43 Verse 2]
Nikiingiza keys joh kwa beat mi huskii mi humada
Masiku zote siujua spoiler ndo papa
Wapoa kila rima wanalia sio ndio wanataka
Uliza mana tipsy vile si huwafanya
Cheki kama ni luku napiga diriba fresh
Na nikidigi joh kwa pori nimejipin mabaze
Na ka ni brown skin lazima nikachase
Na kama hakuna kwela is a pass to the next
Iza leo ni kufinish kumalo
Huwezi niget ukinitrace hadi kwa bando
Kuwatokea nawatokea na ki prado
Nipark and shield nikisip yangu , aah
[Chorus]
Leo ni kufinish kumalo x3
Leo ni kufinish kumalo x3
Leo ni kufinish kumalo x3